

Lugha Nyingine
Semina imefanyika nchini Kenya kuangazia mabadiliko ya vyombo vya habari vinavyoendeshwa na AI
Warsha ya mafunzo yenye kauli mbiu ya “Kuongezeka kwa matumizi ya Akili Bandia (AI) na Athari zake kwa uandishi wa Habari” imefanyika Nairobi, Kenya, Agosti 26, 2025. (Xinhua/Li Yahui)
NAIROBI -- Warsha ya mafunzo ya nusu siku iliyoandaliwa na Shirika la Habari la China Xinhua Ofisi ya Kanda ya Afrika kwa kauli mbiu ya "Kuongezeka kwa matumizi ya Akili Bandia (AI) na Athari zake kwa Uandishi wa Habari" ilifanyika Jumanne huko Nairobi, Kenya.
Takriban washiriki 100, wakiwemo wahariri na waandishi wa habari kutoka zaidi ya vyombo 10 vya habari nchini Kenya na kote barani Afrika, wamehudhuria warsha hiyo.
Washiriki pia walifahamishwa historia ya Shirika la Habari la China Xinhua kupitisha Akili Bandia katika kuandaa kipindi chake kipya, kuanzia ukusanyaji wa habari hadi utafiti, uhariri na usambazaji wa habari.
Warsha ya mafunzo yenye kauli mbiu ya "Kuongezeka kwa matumizi ya Akili Bandia (AI) na Athari Zake kwa Uandishi wa Habari" imefanyika Nairobi, Kenya, Agosti 26, 2025. (Xinhua/Li Yahui)
Warsha ya mafunzo yenye kauli mbiu ya "Kuongezeka kwa matumizi ya Akili Bandia (AI) na Athari Zake kwa Uandishi wa Habari" imefanyika Nairobi, Kenya, Agosti 26, 2025. (Xinhua/Li Yahui)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma