Maonyesho ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita dhidi ya uvamizi wa Wajapan, na ushindi wa kupinga ufashisti yafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2025
Maonyesho ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita dhidi ya uvamizi wa Wajapan, na ushindi wa kupinga ufashisti yafunguliwa Beijing
Watazamaji wanatazama picha za kuchorwa kwenye Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Picha la China mjini Beijing, China, Agosti 25, 2025. (Xinhua/Lu Peng)

Maonyesho ya sanaa ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa Vita vya Watu wa China vya kupambana na uvamizi wa Japan na Vita vya dunia vya kupinga Ufashisti yalianza Jumatatu mjini Beijing. Maonyesho hayo yatakayofanyika hadi Septemba 18, yameleta pamoja kazi za sanaa zaidi ya 300 zikiwemo picha za uchoraji wa kichina, picha za mafuta, picha zilizotokana na uchongaji kwenye mbao na sanamu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha