

Lugha Nyingine
Kukumbuka: Watu duniani kote wakumbuka miaka 80 tangu ushindi wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2025
Kumbukumbu za historia na uhalisi hautasahauliwa kutokana na kupita kwa wakati. Wanafanya kazi kama kioo cha kuonesha hali ya sasa na kuangaza siku za baadaye.
Mwaka 2025 unakumbuka miaka 80 tangu watu walipopata ushindi katika Vita ya Watu wa China ya kupambana na Uvamizi wa Wajapan na Vita ya Dunia ya kupinga Ufashisiti.
Katika video hii, watu kutoka duniani kote watasimulia fikra zao kuhusu athari za vita hii iliyodumu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma