

Lugha Nyingine
Utazamaji mapema wa waandishi wa habari wa maonyesho ya "Marafiki wa Kimataifa na Vita vya Mapambano vya China" yanayofanyika Beijing (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2025
Maonyesho ya "Marafiki wa Kimataifa na Vita vya Mapambano vya China" yanatazamiwa kuanza kesho Jumanne Septemba 9 kwenye Jumba la Makumbusho la Kitaifa la Beijing ili kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu kupata ushindi katika Vita vya Watu wa China vya Kupambana na Uvamizi wa Japan na Vita vya Dunia vya Kupinga Ufashisti.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma