Mtandao wa Treni za Metro wapanuka mjini Shijiazhuang, Hebei, kaskazini mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2025
Mtandao wa Treni za Metro wapanuka mjini Shijiazhuang, Hebei, kaskazini mwa China
Wajenzi wakifanya kazi katika eneo la ujenzi wa stesheni ya treni za metro mjini Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Septemba 7, 2025. (Xinhua/Yang Shiyao)

Hadi kufikia nusu ya kwanza ya mwaka 2025, Treni za Metro katika Mji wa Shijiazhuang mkoani Hebei, kaskazini mwa China zimefanya usafiri kwa mara milioni 2.0083, zikisafirisha kwa usalama abiria milioni 942. Ukiwa ulianzishwa mwezi Juni 2017, njia ya mtandao wa treni za metro wa mji huo sasa imeenea hadi umbali wa kilomita 78.2 ikiwa na stesheni 60 zinazofanya kazi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha