Kipindi cha mafunzo ya udereva wa reli nyepesi kwa wanagenzi wa Kazakhstan chafanyika Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2025
Kipindi cha mafunzo ya udereva wa reli nyepesi kwa wanagenzi wa Kazakhstan chafanyika Tianjin, China
Mwanagenzi wa Kazakhstan (Kushoto) akifanya mtihani chini ya uelekezi wa Zhang Yao (Kulia), mkufunzi kutoka Shirika la Usafiri wa Reli la Tianjin, wakati wa mafunzo ya udereva wa reli nyepesi mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Septemba 5, 2025. (Xinhua/Sun Fanyue)

Kundi la madereva 29 kutoka Kazakhstan hivi karibuni wamehitimu na kufaulu kuwa madereva wa reli nyepesi baada ya kuhitimisha vipindi zamivu vya mafunzo mjini Tianjin, kaskazini mwa China. Ikiwa imeandaliwa na Shirika la Usafiri wa Reli la Tianjin, programu hiyo ya mafunzo ya miezi mitatu imetoa suluhisho mahsusi za kiufundi kwa ajili ya kuendesha treni kwenye njia ya reli nyepesi mjini Astana, mji mkuu wa Kazakhstan.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha