Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafungwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2025
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafungwa Beijing
Watu wakiwa pamoja na roboti ya mbwa wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) kwenye Bustani ya Shougang mjini Beijing, China, Septemba 14, 2025. (Xinhua/Ding He)

Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) yamefungwa Beijing siku ya Jumamosi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha