Malisho ya Chenbarhu Banner ya Mongolia ya Ndani, China  yaingia majira ya mchipuko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2025
Malisho ya Chenbarhu Banner ya Mongolia ya Ndani, China  yaingia majira ya mchipuko
Wafugaji wakiangalia makundi yao ya mifugo kwenye Malisho ya Banner huko Hulun Buir, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wa Kaskazini mwa China, Septemba 14, 2025. (Xinhua/Bei He)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha