Oda za Bidhaa za michezo zaongezeka huko Yiwu, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2025
Oda za Bidhaa za michezo zaongezeka huko Yiwu, China
Wafanyakazi wakitengeneza mipira ya miguu kwenye kampuni ya bidhaa za michezo huko Yiwu, Mkoa wa Zhejiang wa Mashariki mwa China, Septemba 15, 2025. (Picha na Shi Kuanbing/Xinhua)

Mji wa Yiwu nchini China, ukisifiwa kuwa "supamaketi ya dunia", hivi karibuni umeshuhudia ongezeko la oda za bidhaa za michezo, ambalo linachochewa na shughuli kuu za michezo ikiwemo Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalokaribia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha