Lugha Nyingine
Rais Xi aondoka baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa Mkoa wa Xinjiang
Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akipungia mkono umati wa watu waliokusanyika kumuaga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tianshan, Urumqi katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Septemba 25, 2025. (Xinhua/Shen)
URUMQI - Rais wa China Xi Jinping ameondoka Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang na kuelekea Beijing jana Alhamisi baada ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa mkoa huo ambapo amesindikizwa kwa uchangamfu na watu wa makabila mbalimbali waliokuwa wakipeperusha bendera nyekundu na kucheza ngoma kwa furaha kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tianshan, Urumqi.
Rais Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), amemtaka Wang Huning kuongoza ujumbe wake kutembelea maeneo mbalimbali ya Xinjiang na kuwasilisha salamu kwa watu wa makabila na sekta mbalimbali mkoani humo kuanzia Alhamisi hadi Jumapili.
Msafara wa Rais Xi, akiwemo ofisa mwandamizi Cai Qi, utarudi Beijing kwa ndege hiyo hiyo.
Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akipungia mkono umati wa watu waliokusanyika kumuaga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tianshan, Urumqi katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Septemba 25, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akipungia mkono umati wa watu waliokusanyika kumuaga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tianshan, Urumqi katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Septemba 25, 2025. (Xinhua/Li Yan)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma