

Lugha Nyingine
Teknolojia ya vyombo visivyoendeshwa na binadamu yaonekana katika Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2025
Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 unaoendelea mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China unaonyesha matumizi mbalimbali ya teknolojia ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu. Katika mkutano huo, maonyesho ya mifumo ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu kwenye mazingira mbalimbali, yamekuwa kivutio kikubwa kwa watembeleaji.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma