Uboreshaji wa reli inayounganisha Suifenhe na mpaka wa China na Russia wakamilika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 28, 2025
Uboreshaji wa reli inayounganisha Suifenhe na mpaka wa China na Russia wakamilika
Picha iliyopigwa kwa droni Septemba 26, 2025 ikionyesha wafanyakazi wakifanya shughuli za kujaza zege kwenye sehemu mpya iliyoboreshwa ya reli inayounganisha Suifenhe na mpaka wa China na Russia, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Picha na Qu Yiwei/Xinhua)

Uboreshaji wa reli inayounganisha Suifenhe na mpaka wa China na Russia, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China umekamilika rasmi jana Jumamosi, huku njia mpya zilizoanza kufanya kazi zikiwezesha treni kuendeshwa kwa kasi ya hadi kilomita 120 kwa saa, zaidi ya mara mbili ya kikomo cha hapo awali cha kasi ya kilomita 55 kwa saa, ikiongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa usafiri.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha