

Lugha Nyingine
Mtandao wa usafiri wa China washuhudia pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2025
![]() |
Abiria wakipiga picha pembeni ya treni katika Stesheni ya Reli ya Tianjin mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Oktoba 1, 2025. (Xinhua/Li Ran) |
Mtandao wa usafiri wa China umeshuhudia pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa ya China iliyoanza rasmi jana Jumatano Oktoba Mosi na itaendelea kwa zaidi ya wiki moja hadi Jumatano ya wiki ijayo, Oktoba 8. Wakati wa likizo hiyo, wachina kwa mamilioni husafiri ndani na nje ya nchi kwa ajili ya utalii, matumizi ya manunuzi, mijumuiko ya kifamilia na kadhalika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma