

Lugha Nyingine
Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika kwa njia mbalimbali kote China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 1, 2025 ikionyesha watu wakishiriki kwenye shughuli ya kupanda baiskeli katika kuadhimisha miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China mjini Huaian, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Xinhua/Ji Chunpeng) |
Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yamefanyika jana Jumatano, Oktoba Mosi kwa njia mbalimbali katika sehemu mbalimbali kote China. China huadhimisha maadhimisho hayo ambayo kwa kawaida huambatana na likizo ndefu ya Siku ya Taifa ya China kila mwaka Oktoba Mosi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma