

Lugha Nyingine
Wafanyakazi katika sehemu mbalimbali China wabaki kwenye majukumu wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 6, 2026 ikionyesha eneo la ujenzi wa barabara kuu mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Xiao Yijiu) |
Pamoja na likizo ya Siku ya Taifa ya China kuwa na siku nane za mapumziko kwa wafanyakazi, wafanyakazi wengi Wachina wameendelea kusimama kithabiti kwenye nafasi zao za kazi na kutekeleza majukumu yao mbalimbali ili kuendelea kutoa huduma hitajika kwa wananchi lakini pia kuhakikisha miradi muhimu inakamilika kwa wakati uliopangwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma