

Lugha Nyingine
Mwezi mpevu wavutia kote China wakati wa Sikukuu ya Mbalamwezi ya China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 6, 2025 ikionesha mwezi mpevu juu ya anga mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Picha na Du Penghui/Xinhua) |
Jana Jumatatu ilikuwa sikukuu ya mbalamwezi ya China, ambayo husherehekewa kila mwaka katika siku ya 15 ya mwezi wa nane kwa Kalenda ya Kilimo ya China. Siku hiyo watu kote nchini China wamefurahia kuonekana kwa mwezi mpevu ambayo pia ni sehemu ya kusherehekea sikukuu hiyo ya jadi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma