Rais Xi akipongeza Chuo Kikuu cha Kilimo cha China kwa kuadhimisha miaka 120 tangu kuanzishwa kwake

(CRI Online) Oktoba 17, 2025

Rais Xi Jinping wa China ametoa pongezi kwa wahadhiri, wanafunzi na wahitimu wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China (CAU), kwa maadhimisho ya miaka 120 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho, akitoa wito kwake kutoa wataalam wengi wenye ujuzi na ari ya kilimo.

Katika barua ya majibu kwa wahadhiri na wanafunzi wake, Rais Xi, amekihimiza chuo cha CAU kutoa mchango mpya katika kujenga nguvu ya China kwenye kilimo na kusukuma mbele ujenzi wa mambo ya kisasa wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha