Kipindi cha kwanza cha Maonyesho ya 138 ya Canton yakamilika kwa ushiriki mpana wa kimataifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2025

Wanunuzi wakijadiliana bei na waonyeshaji bidhaa kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Lu Hanxin)

Kipindi cha kwanza cha Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China, ambayo pia yanajulikanayo kwa jina la Maonyesho ya Canton, imehitimishwa rasmi jana Jumapili, mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Biashara ya Kigeni cha China, wanunuzi wapatao 157,900 wa ng'ambo kutoka nchi na maeneo 222 walihudhuria maonyesho hayo ukumbini ana kwa ana.

Wanunuzi wakizungumza na mwonyeshaji bidhaa kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Xiao Ennan)

Mwonyeshaji bidhaa (katikati) akielezea vifaa vya umeme vya matumizi ya nyumbani kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Xiao Ennan)

Mnunuzi akipiga picha na pikipiki kwenye eneo la maonyesho ya pikipiki la Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Xiao Ennan)

Mnunuzi akizungumza na mwonyeshaji bidhaa kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Xiao Ennan)

Mnunuzi akitazama mfano wa mstari wa uzalishaji wa kisasa wa nyenzo ya ujenzi kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Xiao Ennan)

Mnunuzi akimuuliza mwonyeshaji bidhaa kuhusu bidhaa kwenye Maonyesho ya 138 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa Nje ya China mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 15, 2025. (Xinhua/Lu Hanxin)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha