

Lugha Nyingine
Meli ya kwanza kwenye njia ya haraka ya meli za makontena ya China-Ulaya ya Aktiki yawasili katika Bandari ya Gdansk, Poland
Picha hii iliyopigwa Oktoba 19, 2025 ikionyesha kontena lililopakuliwa kutoka meli ya usafiri wa kwanza inayoitwa "Daraja la Istanbul" kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena ya China-Ulaya ya Aktiki, likipakiwa kwenye lori katika Bandari ya Gdansk, Poland. (Xinhua/Cui Li)
Baada ya kusafirisha kwa siku 26, meli ya usafiri wa kwanza kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena kati ya China na Ulaya ya Aktiki imewasili mapema jana Jumapili kwenye Bandari ya Gdansk, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Baltiki kaskazini mwa Poland.
Meli hiyo ya kubeba makontena iliyopewa jina la "Daraja la Istanbul” iliondoka kutoka Bandari ya Ningbo-Zhoushan mashariki mwa China, ikibeba makontena ya mizigo takriban 4,000. Itawasilisha mzigo wake katika bandari za Uingereza, Ujerumani, Poland na Uholanzi.
Picha hii iliyopigwa Oktoba 19, 2025 ikionyesha malori yakiwa yameegeshwa pembeni ya meli ya usafiri wa kwanza ya "Daraja la Istanbul" kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena kati ya China na Ulaya ya Aktiki, katika Bandari ya Gdansk, Poland. (Xinhua/Cui Li)
Picha hii iliyopigwa Oktoba 19, 2025 ikionyesha kontena likipakuliwa kutoka meli ya usafiri wa kwanza ya "Daraja la Istanbul" kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena ya China-Ulaya ya Aktiki, katika Bandari ya Gdansk, Poland. (Xinhua/Cui Li)
Picha hii iliyopigwa Oktoba 19, 2025 ikionyesha kontena likipakuliwa kutoka meli ya usafiri wa kwanza inayoitwa "Daraja la Istanbul" kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena ya China-Ulaya ya Aktiki, katika Bandari ya Gdansk, Poland. (Xinhua/Cui Li)
Picha hii iliyopigwa Oktoba 19, 2025 ikiionyesha meli ya usafiri wa kwanza inayoitwa "Daraja la Istanbul" kwenye njia ya haraka ya meli za kubeba makontena ya China-Ulaya ya Aktiki, ikiwa imetia nanga kwenye Bandari ya Gdansk, Poland. (Xinhua/Cui Li)
Misri yafunga Jumba la Makumbusho Kuu la Misri kwa ajili ya kufunguliwa rasmi
Mwezi mpevu wavutia kote China wakati wa Sikukuu ya Mbalamwezi ya China
Wanasarakasi wafanya maonyesho katika Eneo la Ulimwengu wa Sarakasi la Wuqiao mjini Cangzhou, China
Sikukuu ya mavuno ya wakulima yaadhimishwa katika Mkoa wa Xizang, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma