Mkutano wa 4 wa Wajumbe Wote wa Kamati Kuu ya 20 ya CPC wafunguliwa

(CRI Online) Oktoba 21, 2025

Mkutano wa 4 wa Wajumbe Wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umeanza kufanyika jana Jumatatu asubuhi mjini Beijing.

Kwa niaba ya Ofisi ya Siasa ya Kamati hiyo, Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya chama hicho ametoa ripoti ya kazi kwa mkutano huo, na kufafanua Mapendekezo ya Kamati hiyo kuhusu Mpango wa 15 wa Miaka Mitano wa Maendeleo ya Uchumi na Jamii ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha