Lugha Nyingine
Mandhari ya Stesheni ya Bandari ya Kimataifa ya Xi'an katika Mkoa wa Shaanxi wa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2025
Stesheni ya Bandari ya Kimataifa ya Xi'an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China imeshughulikia jumla ya safari 5,063 za treni za mizigo zinazotoa huduma kati ya China na Ulaya katika miezi kumi ya kwanza ya mwaka huu, ikiwa ni ongezeko la asilimia 16.3 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana, kwa mujibu wa takwimu kutoka Kundi la Kampuni za Reli la China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




