Matunda ya camellia oleifera yaingia msimu wa mavuno katika Wilaya ya Yongtai, Fujian, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2025
Matunda ya camellia oleifera yaingia msimu wa mavuno katika Wilaya ya Yongtai, Fujian, China
Mwanakijiji akichuma matunda ya camellia oleifera katika Kijiji cha Lianshan cha Wilaya ya Yongtai, Mji wa Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Novemba 18, 2025. (Xinhua/Jiang Kehong)

Matunda ya camellia oleifera (mti wa matunda) yanayolimwa katika Wilaya ya Yongtai, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China yameingia msimu wa mavuno hivi karibuni. Ikifahamika kuwa wilaya inayoongoza kwa kupanda matunda hayo ya camellia oleifera katika mkoa huo wa Fujian, Yongtai hutumia jumla ya mu 137,500 (hekta karibu 9,167) za ardhi yake inayofaa kwa kilimo kwa zao hilo la malighafi za viwandani.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha