Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping aongoza mkutano wa kupitia ripoti kuhusu ukaguzi wa nidhamu uliofanywa na kamati kuu ya Chama
(CRI Online) Novemba 28, 2025
Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo Ijumaa imefanya mkutano wa kupitia ripoti kuhusu kazi za ukaguzi wa nidhamu wa Kamati Kuu ya 20 kwenye mikoa, maeneo yanayojiendesha na miji inayoongozwa moja kwa moja na serikali kuu.
Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya CPC aliongoza mkutano huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



