Maonyesho ya Sayansi na Utamaduni ya Mwaka wa Farasi yaanza Shanghai, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2026
Maonyesho ya Sayansi na Utamaduni ya Mwaka wa Farasi yaanza Shanghai, China
Mtoto wa kike akiendesha farasi wa Shetland kwenye Maajabu ya Farasi wa Kasi: Maonyesho ya Sayansi na Utamaduni ya Mwaka wa Farasi katika Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la Shanghai mjini Shanghai, mashariki mwa China, Februari 10, 2026. (Xinhua/Fang Zhe)

Maajabu ya Farasi wa Kasi: Maonyesho ya Sayansi na Utamaduni ya Mwaka wa Farasi ambayo yameandaliwa kwa pamoja na Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la Shanghai na Kasri la Makumbusho la Shanghai yameanza rasmi jana Jumanne mjini Shanghai , mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha