Timu ya sarakasi za ndege ya PLA yafanya maonyesho kwenye Maonyesho ya 10 ya Ndege Angani ya Singapore

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2026
Timu ya sarakasi za ndege ya PLA yafanya maonyesho kwenye Maonyesho ya 10 ya Ndege Angani ya Singapore
Ndege za Timu ya Sarakasi za Ndege ya Bayi ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zikifanya maonyesho ya urukaji kwenye Maonyesho ya 10 ya Ndege Angani ya Singapore, Singapore, Februari 4, 2026. (Picha na Zhu Jianghai/Xinhua)

Timu ya Sarakasi za Ndege ya Bayi ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) imefanya maonyesho ya urukaji wa ndege angani jana Jumatano kwenye Maonyesho ya 10 ya Ndege Angani nchini Singapore, ambayo yalifunguliwa rasmi Jumanne wiki hii na yamepangwa kufanyika hadi Februari 8, 2026.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha