Mohe, 'Ncha ya Kaskazini' mwa China: Maji yanayomwagwa ghafla hubadilika kuwa barafu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2026

Je ni baridi kiasi gani katika Kijiji cha Beiji, Wilaya ya Mohe, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China — sehemu ya kaskazini kabisa ya China? Hapa, maji huganda mara tu yanaporushwa hewani. Maji ya moto yanayochemka kwenye kikombe, yakirushwa juu kwa nguvu, mara moja hupasuka na kuwa maelfu ya fuwele laini za barafu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha