Lugha Nyingine
Aurora angani juu ya 'Ncha ya Kaskazini' ya China: Mandhari ya bahati kwa wale wanaoishuhudia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2026
Kikipatikana kwenye latitudo ya kaskazini ya nyuzi 53, Kijiji cha Beiji katika Wilaya ya Mohe, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni kijiji cha mpakani kaskazini zaidi mwa China Bara. Ni moja ya maeneo bora zaidi nchini China kutazama aurora na kujionea tukio la mwanga wa mchana usioisha. Kila mwaka, watalii wengi na wapenzi wa kupiga picha za angani husafiri hapa kwa matumaini ya kuona mvuto huo wa kipekee wa mwanga. Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, aurora zimeonekana katika eneo hilo mara kadhaa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



