Lugha Nyingine
Jalidi kwenye kope zao: Kulinda usalama katika 'mji wa baridi zaidi' wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2026
Kope zikiwa zimefunikwa na jalidi, wanaendelea kuwa thabiti kwenye baridi kali.
Katika eneo la Huzhong la Milima Mikubwa ya Khingan, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, askari wa zimamoto wanaendelea kuwa katika majukumu katikati ya misitu yenye baridi kali kwenye latitudo ya kaskazini ya nyuzi 52, wakilinda usalama wa mahali hapa panapojulikana kuwa "mji wa baridi zaidi" wa China kwa uaminifu na kujitolea.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



