China yawa bingwa wa mauzo ya tiketi za filamu ya mwaka 2026

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2026

China imezidi Amerika Kaskazini na kuwa soko la filamu lenye mauzo makubwa zaidi ya tiketi za filamu kwa sasa, ambapo mapato yake ya tiketi za filamu ya mwaka 2026 (pamoja na tiketi zilizoagizwa) yalizidi yuan bilioni 7 (takriban dola za kimarekani milioni 9.7) hadi siku ya Jumamosi, idadi ambayo ilizidi kwa kiasi ile ya Amerika Kaskazini ya dola za kimarekani milioni 938, kwa mujibu wa takwimu kutoka jukwaa la kukata tiketi mtandaoni.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha