Lugha Nyingine
Maonyesho ya Dunia ya Vifaa vya Matumizi ya Nyumbani na Zana na Vifaa vya Kielektroniki 2026 yafunguliwa Shanghai (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 13, 2026
Maonyesho ya Dunia ya Vifaa vya Matumizi ya Nyumbani na Zana na Vifaa vya Kielektroniki 2026 (AWE2026) yameanza rasmi mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Alhamisi. Kampuni zaidi ya 1,200 kutoka kote duniani zimekusanyika kwenye maonyesho hayo kuonyesha uvumbuzi wao mpya wa hivi karibuni.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




