Mkutano na Maonesho ya Usafiri wa Anga ya Juu wa Kibiashara ya Shanghai 2026 yafunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 13, 2026
Mkutano na Maonesho ya Usafiri wa Anga ya Juu wa Kibiashara ya Shanghai 2026 yafunguliwa
Picha iliyopigwa Machi 12, 2026 ikionesha kifaa kwa ajili ya uchukuzi wa mzigo mwezini katika Mkutano na Maonesho ya Usafiri wa Anga ya Juu wa Kibiashara ya Shanghai 2026 kwenye Kituo Kipya cha Kimataifa cha Maonesho cha Shanghai mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Jiansong)

Mkutano na Maonesho ya Usafiri wa Anga ya Juu wa Kibiashara (Commercial Aerospace) ya Shanghai 2026, ambayo pia ni mkutano wa kwanza wa aina yake, yameanza rasmi katika Mji wa Shanghai, Mashariki mwa China jana Alhamisi na yamepangwa kuendelea hadi Machi 14.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha