Jukwaa la Maendeleo la China 2026 laanza mjini Beijing (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 23, 2026
Jukwaa la Maendeleo la China 2026 laanza mjini Beijing
Dilma Rousseff, Mkuu wa Benki ya Maendeleo Mapya, akizungumza kwenye kongamano juu ya sera za jumla na maendeleo yenye sifa bora katika Jukwaa la Maendeleo la China 2026 mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 22, 2026. (Xinhua/Li Xin)

Jukwaa la Maendeleo la China 2026 limeanza rasmi mjini Beijing jana Jumapili. Kaulimbiu ya jukwaa hilo la mwaka huu ni "China katika Kipindi cha Mpango wake wa 15 wa Miaka Mitano: Kusukuma Mbele Maendeleo yenye Sifa Bora na Kuunda Fursa Mpya Pamoja."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha