Lugha Nyingine
Maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Taijiquan ya Kimataifa yafanyika Ulaya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 23, 2026
![]() |
| Wapenda Taijiquan wakifanya onyesho la mchezo wa Taijiquan, ambao ni moja ya Michezo ya Wushu ya jadi ya China, mjini Vienna, Austria, Machi 21, 2026. (Xinhua/He Canling) |
BRUSSELS - Wapenda Taijiquan katika nchi mbalimbali za Ulaya walifanya maonyesho ya mchezo wa Taijiquan, ambao ni moja ya michezo ya Wushu ya jadi ya China, ili kuadhimisha Siku ya kwanza ya Taijiquan ya Kimataifa juzi Jumamosi.
Novemba 5, 2025, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) lilipitisha azimio kwenye mkutano wake wa 43 wa Baraza Kuu ambalo likiamua kuweka Tarehe 21, Machi ya kila mwaka kuwa Siku ya Taijiquan ya Kimataifa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




