Lugha Nyingine
Jukwaa la Zhongguancun 2026 kufanyika Beijing kuanzia Machi 25 hadi 29 (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Machi 24, 2026 ikionyesha miwani ya AR yenye kufanya tafsiri kwa wakati halisi kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Jukwaa la Zhongguancun 2026, Beijing. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Likifanyika chini ya kaulimbiu ya "Mafungamano Kamili Kati ya Uvumbuzi wa Kiteknolojia na Kiviwanda," Jukwaa la Zhongguancun la mwaka huu litafanyika mjini Beijing, kuanzia leo Jumatano Machi 25 hadi Machi 29. Wageni zaidi ya 1,000 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 100 wanatarajiwa kushiriki katika jukwaa hilo, ambalo linashirikisha matukio zaidi ya 100.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




