Lugha Nyingine
Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2026
![]() |
| Roboti ya usafi yenye teknolojia za AI ikifanya kazi kwenye Mji mdogo wa Tanmen, Mji wa Qionghai, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Machi 25, 2026. (Xinhua/Yang Guanyu) |
Vifaa vya usafi vyenye kutumia teknolojia za kisasa na AI vinatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia (BFA) 2026, na kuwa kivutio cha huduma za mijini kwa kutembea kwa usahihi, kusafisha taka kwa haraka na kwa vigezo vya juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




