Mkutano wa Zana na Vifaa vya Matibabu na Maonyesho ya Zana na Vifaa vya Matibabu vya China 2026 vyafanyika Chongqing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 30, 2026
Mkutano wa Zana na Vifaa vya Matibabu na Maonyesho ya Zana na Vifaa vya Matibabu vya China 2026 vyafanyika Chongqing
Mfanyakazi akionyesha zana ya mfumo wa ultrasound wa matibabu ya saratani kwenye Maonyesho ya Zana na Vifaa vya Matibabu na Afya ya China 2026 yaliyofanyika kwenye Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Chongqing, katika Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, Machi 29, 2026. (Xinhua/Huang Wei)

Mkutano wa Zana na Vifaa vya Matibabu na Afya na Maonyesho ya Zana na Vifaa vya Matibabu na Afya vya China 2026 ambavyo vimefanyika kwa siku nne vilianzia Alhamisi wiki iliyopita katika Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, ambapo kampuni zaidi ya 800 zimeshiriki na kuonyesha mafanikio mengi ya uvumbuzi na teknolojia za kisasa katika zana na vifaa vya matibabu na afya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha