Watu washiriki kwenye Kanivali ya Kimataifa ya Macao 2026 (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 30, 2026
Watu washiriki kwenye Kanivali ya Kimataifa ya Macao 2026
Watu wakishiriki kwenye Kanivali ya Kimataifa ya Macao 2026, huko Macao, kusini mwa China, Machi 29, 2026. (Xinhua/Cheong Kam Ka)

Makundi ya wasanii kutoka nchi na maeneo mbalimbali duniani yamefanya maonyesho mbalimbali ya michezo ya sanaa kwenye Kanivali ya Kimataifa ya Macao 2026, yakionyesha mvuto wa kipekee wa Mkoa huo wa Utawala Maalum wa China wenye hali ya mafungamano kati ya utamaduni wa China na tamaduni za nchi za Magharibi na kuonesha vilivyo shamrashamra ya sherehe ya Kanivali hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha