Mradi wa njia ya handaki chini ya maji ya Mto Sanya waendelea kujengwa Hainan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 01, 2026
Mradi wa njia ya handaki chini ya maji ya Mto Sanya waendelea kujengwa Hainan, China
Picha iliyopigwa Machi 31, 2026 ikionyesha sehemu ya ujenzi wa mradi wa njia ya handaki chini ya maji ya Mto Sanya huko Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China. (Xinhua/Yang Guanyu)

Njia hiyo ya handaki chini ya maji yenye urefu wa kilomita 3.118, ni mradi wa kwanza wa aina hiyo katika Mji wa Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China inatarajiwa kuboresha zaidi mpangilio wa nafasi za mji huo, na kusukuma mbele maendeleo ya Bandari ya Biashara Huria ya Hainan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha