Lugha Nyingine
Watu 22 wafariki dunia katika ajali ya boti DRC
Wizara ya Uchukuzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imesema, watu 22 wamefariki dunia baada ya boti ya injini kupinduka alfajiri ya jumatatu kwenye Ziwa Tanganyika mashariki mwa nchi hiyo.
Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi wa awali, boti hiyo iliondoka saa tisa usiku wa jumatatu kutoka bandari isiyo rasmi katika kijiji cha Kasama, karibu kilomita 18 kutoka Kalemie, mji mkuu wa mkoa wa Tanganyika, kabla ya kupinduka takriban saa kumi usiku.
Mamlaka hiyo imesema upepo mkali pamoja na mzigo kupita kiasi huenda vilisababisha ajali hiyo.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma