Lugha Nyingine
Kuigeuza siku katika Kisiwa cha Gulangyu, Xiamen, China kuwa shairi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2026
Siku katika Kisiwa cha Gulangyu, Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian kusini mashariki mwa China, hujidhihirisha kama shairi lililoundwa na mwanga wa jua, kipupwe cha baharini na majengo ya kihistoria. Kwa kurandaranda kupita mitaa yake, kila tukio huwa beti inayoakisi uzuri tulivu na ukarimu wa kitamaduni wa kisiwa hicho.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma