Mkutano wa 9 wa Ujenzi wa Kidijitali wa China wafunguliwa Fuzhou (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2026
Mkutano wa 9 wa Ujenzi wa Kidijitali wa China wafunguliwa Fuzhou
Picha hii iliyopigwa Aprili 28, 2026 ikionyesha Kituo cha Maonyesho na Mikutano ya Kimataifa cha Mlango-Bahari cha Fuzhou, ukumbi wa Mkutano wa 9 wa Ujenzi wa Kidijitali wa China, Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Mkutano wa 9 wa Ujenzi wa Kidijitali wa China, chini ya kaulimbiu ya "Kuharakisha Uvumbuzi na Maendeleo katika Teknolojia za Kidijitali na Kuzidisha Ujenzi wa China ya Kidijitali", umefunguliwa mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha