Chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi chazinduliwa Zhejiang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2026
Chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi chazinduliwa Zhejiang
Hafla ya uzinduzi ikifanywa kwa ajili ya chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi, R/V Haiying Surveyor, mjini Wenling, Mkoani Zhejiang, mashariki mwa China, Mei 5, 2026. (Xinhua/Huang Zongzhi)

WENLING - Chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi, R/V Haiying Surveyor kimezinduliwa rasmi mjini Wenling, Mkoani Zhejiang, mashariki mwa China jana Jumanne. Chombo hicho kina urefu wa mita 82, uzito wa tani 3,500 katika hali ya mzigo kamili, na uwezo wa kusafiri umbali wa maili za baharini 10,000. Chombo hicho kimehifadhiwa na wavuvi 37 kutoka Wenling.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha