Lugha Nyingine
Midoli inayovuma na kukusanywa yawa jambo la kitamaduni nchini China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2026
![]() |
| Msichana akicheza na midoli inayovuma na kukusanywa naye nyumbani katika Mji wa Bijie, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Aprili 26, 2026. (Picha na Li Hua/Xinhua) |
Nchini China, Midoli inayovuma na kukusanywa imebadilika kutoka jambo alipendalo mtu binafsi hadi kuwa jambo la kitamaduni, na kuonekana katika mazingira mbalimbali ya kila siku. Midoli hiyo si tu inaleta njia kwa watu kujieleza hisia zao na kufanya mawasiliano na watu kwenye jamii, bali pia inashuhudia mwelekeo wa matumizi unaosisitiza ya kutafuta upendeleo wa watu binafsi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




