Maonyesho ya Baiskeli Duniani ya China 2026 yafanyika Shanghai (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2026
Maonyesho ya Baiskeli Duniani ya China 2026 yafanyika Shanghai
Mtembeleaji akitazama baiskeli kwenye Maonyesho ya Baiskeli Duniani ya China 2026, mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 6, 2026. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya Baiskeli Duniani ya China 2026 ambayo yatafanyika kwa siku nne yalianza rasmi kwenye Kituo Kipya cha Maonyesho ya Kimataifa cha Shanghai siku ya Jumanne wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha