Lugha Nyingine
Askari Polisi wa Ulinzi wa Bahari wa China, yafanya Mazoezi ya Utekelezaji wa Sheria wa Nguvu za Jumla Kwenye Bahari ya Kusini (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 09, 2026
Hivi karibuni, meli ya Chuanshan ya Askari Polisi wa Ulinzi wa Bahari wa China (CCG), ambayo kwa sasa iko katika doria ya kulinda usalama kwenye maeneo ya bahari ya Kisiwa cha Huangyan katika Bahari ya Kusini, imeanzisha mazoezi ya utekelezaji wa sheria wa nguvu za jumla na kulinda haki.
Askari wa utekelezaji wa sheria walifuata kwa karibu hali halisi ya utekelezaji wa majukumu yao, wakifanya mazoezi ya doria na ulinzi, kutoa onyo kwa sauti, kupuliza maji kwa mizinga, pamoja na kukusanya ushahidi kwa njia mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




