Watalii wa kigeni watembelea Mtaa wa Kale wa Qilou katika Mji wa Haikou wa Hainan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2026
Watalii wa kigeni watembelea Mtaa wa Kale wa Qilou katika Mji wa Haikou wa Hainan, China
Watalii wa kigeni wakitembelea Mtaa wa Kale wa Qilou, Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Mei 9, 2026. (Xinhua/Guo Cheng)

Mtaa wa Kale wa Qilou, ambao ni alama ya kitamaduni yenye historia ya miaka mia moja ya mji wa Haikou katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, umekuwa mahali panapopendelewa kutembelewa zaidi na watalii wa kigeni wakati huu kutokana na maendeleo ya Bandari ya Biashara Huria ya Hainan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha