Mkutano wa Afrika Yasonga Mbele 2026 wafanyika Nairobi, Kenya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2026
Mkutano wa Afrika Yasonga Mbele 2026 wafanyika Nairobi, Kenya
Picha hii iliyopigwa Mei 11, 2026 ikionyesha shughuli ya Mkutano wa Afrika Yasonga Mbele 2026, (Africa Forward Summit 2026) jijini Nairobi, Kenya. (Xinhua/Liu Qiong)

Mkutano wa Afrika Yasonga Mbele 2026 (Africa Forward Summit 2026) ulioongozwa kwa pamoja na Rais wa Kenya William Ruto na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, umefanyika jijini Nairobi, Kenya kuanzia Tarehe 11 hadi 12 Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha