Roboti za AI za usimamizi wa trafiki zawekwa barabarani katika Mji wa Hangzhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 14, 2026
Roboti za AI za usimamizi wa trafiki zawekwa barabarani katika Mji wa Hangzhou, China
Roboti ya AI ya usimamizi wa trafiki ikiwa kazini kwenye njiapanda ya barabara katika eneo la biashara la Hubin, Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Mei 11, 2026. (Xinhua/Huang Zongzhi)

Roboti kumi na tano za AI za usimamizi wa trafiki barabarani zimewekwa kwenye makutano muhimu ya barabara ya eneo la kivutio cha watalii la Ziwa Xihu, eneo la biashara la Hubin, na barabara kuu katika Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China zikifanya kazi kama vile kuonyesha uelekeo wa njia kwa watalii, kuzuia waendesha vyombo vya usafiri visivyo na injini na watembea kwa miguu kukiuka sheria za trafiki, na kuelekeza magari barabarani.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha