Lugha Nyingine
Viwanda vya bendera mkoani Shandong, China vyawa na pilika nyingi za kuzalisha bendera wakati Kombe la Dunia la FIFA likikaribia (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 14, 2026
![]() |
| Mfanyakazi akizalisha bendera ndani ya karakana ya uzalishaji ya Kampuni ya Teknolojia ya Nguo ya Wandelong, Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Mei 13, 2026. (Xinhua/Li Ziheng) |
Viwanda vya bendera katika Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China vimekuwa na pilika nyingi za kuzalisha bendera za taifa za nchi mbalimbali wakati huu ambapo Kombe la Dunia la FIFA Mwaka 2026 likikaribia nchini Marekani, Mexico na Canada.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




