Lugha Nyingine
Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Watu Weusi mjini Dakar, Senegal (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Mei 15, 2026 ikionyesha mwonekano wa nje ya Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Watu Weusi, Dakar, Senegal. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Jana Tarehe 18 Mei ilikuwa ni Siku ya Majumba ya Makumbusho Duniani. Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Watu Weusi limekuwa alama ya utamaduni wa Senegal hata ya utamaduni wa Bara zima la Afrika. Jumba hilo linafanya kazi muhimu katika kuhifadhi mali ya urithi, kusukuma mbele utafiti wa taaluma, kuandaa maonyesho, na kuhimiza elimu ya umma.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




